Wednesday, April 18, 2012

Siku Masache Kasaka alipo pata kash kash akiwa anaelekea Bukoba kikazi na wenzake baada ya Gari lao kuingia katika matope!!

 Duu kazi kweli kweli hapa mambo hayaendi
 Hapa Gari linaelekea Kutoka ili waendelee na safari yao
 Kijana Masache baada ya Dhoruba kali sana kuwapitia aliamua apate na picha ya ukumbusho
 Hapa Hakuna cha Gia ya matope wala nini kitu kimegoma kimegoma, Dereva anajitahidi kuweka mambo sawa
Hali tete bado mitaa hii kuelekea Bukoba ambapo Kijana Masache walipata Thoruba kali sana

Monday, April 16, 2012

Siku zote sio zilikuwa zakusoma tuu lakini mala moja moja wanafunzi walikuwa wanaletewa Disco na mambo yalikuwa kama hivi



Inakumbukwa sana kulikuwa na Sherehe mbali mbali hasa za kumaliza kidato cha nne na cha sita je mambo yalikuwaje?

Baadhi ya walimu akiwepo na mwalimu Sengo wakikabithi vyeti wakati wa mahafali hayo

Hali ilikuwaje katika mazingira ya Hostel ambako hasa ndipo tulikuwa tunalala?







Hii ni Baadhi ya Mitaa ambayo vijana wa Mbalizi walipenda kutembea wakati wa Week end lakini kwa kutoroka!




Je Vijana walikuwa walijiachia vipi wapipo pata muda wa week end?






Karibu Mbalizi High School Haya ni Mazingira na Mandhari ya Shule hii

Hii ni Ramani ambayo inaonesha Mazingira ya Shule mala uingiapo tu langoni
 Hii ni Packing mpya ya magari ya shule na wageni
 Hili ni Bweni la wanaume 
 Haya ni madarasa ya A'Level
 Hiki ni kiwanja cha mpira wa kikapu
 Hili ni Lango kuu lakuingilia shule ya sekondari ya Mbalizi
Hapa ni ofisi kuu za utawala Mbalizi