Wednesday, April 18, 2012

Siku Masache Kasaka alipo pata kash kash akiwa anaelekea Bukoba kikazi na wenzake baada ya Gari lao kuingia katika matope!!

 Duu kazi kweli kweli hapa mambo hayaendi
 Hapa Gari linaelekea Kutoka ili waendelee na safari yao
 Kijana Masache baada ya Dhoruba kali sana kuwapitia aliamua apate na picha ya ukumbusho
 Hapa Hakuna cha Gia ya matope wala nini kitu kimegoma kimegoma, Dereva anajitahidi kuweka mambo sawa
Hali tete bado mitaa hii kuelekea Bukoba ambapo Kijana Masache walipata Thoruba kali sana

0 comments: